Mbunge Wa Lagdera Abdikadir Mohammed ataka mazungumzo ya amani kurejelewa

  • | Citizen TV
    844 views

    Mbunge wa Lagdera Abdikadir Mohammed ametaka kurejelewa kwa mazungumuzu yasiyoegemea upande wowote ambayo yalikuwa yakifanyika kati ya wawakilishi wa upande wa serikali na wale wa upinzani. Mbunge huyo anasema mandamano si suluhisho la matatizo yanayowakumba wakenya. Watu 9 walifariki na wengine wengi kujerehiwa