Skip to main content
Skip to main content

Mbunge wa Ndia George Kariuki amkosoa Gachagua kwa kujiita kiongozi wa Mlima Kenya

  • | KBC Video
    96 views
    Duration: 1:17
    Mbunge wa Ndia George Kariuki kwa mara nyingine amemsuta aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua, akimlaumu kwa kujiita kiongozi wa eneo la Mlima Kenya. Kariuki ambaye ni mwandani wa rais William Ruto, alipuuza wito wa Gachagua wa hivi majuzi kwa viongozi wa eneo la katikati ya nchi kumuunga mkono akisema eneo hilo litasimama na viongozi wanaozingatia maendeleo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive