- 3,903 viewsDuration: 1:51Mbunge wa Saboti Caleb Amisi apuuzilia mbali kauli za baadhi ya wandani wa Rais William Ruto wadaio kuwa watatumia mbinu zote kuhakikisha apata muhula wa pili, akisema upinzani waweka mikakati madhubuti ya kulinda kura za wananchi.