Mchango wa vijana kukabiliana na athari za tabianchi wahimizwa

  • | KBC Video
    12 views

    Vijana wamepewa changamoto kuwa kwenye mstari wa mbele katika kampeni za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Wito huu umetolewa wakati wa mkutano wa kujadili mikakati bunifu kuhusu hatua za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi jijini Nairobi, ulioleta pamoja mashirika ya kiraia, wadau wa serikali pamoja na wanaharakati wachanga wa mazingira.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive