Mchezo wa Sataranji (CHESS) washika kasi shuleni Trans nzoia

  • | Citizen TV
    62 views

    Mchezo wa sataranji au chess umeibuka kupendwa na wazazi wengi nchini, hii ni baada ya kubainika kuwa unawasaidia wanafunzi kukuza uwezo wa kufikiria kwa kina na kutatua baadhi ya changamoto za maisha