Mchezo wa Skateboarding waendelea kuwavutia wanawake zaidi

  • | VOA Swahili
    166 views
    [[Nchini Afrika Kusini, mchezo wa skateboarding, unapitia wakati mzuri wa mabadiliko. Mchezo ambao wakati mmoja ulikuwa unawapendelewa na wanaume zaidi unavutia zaidi na zaidi wanawake kujiunga. Mwandishi wa VOA Zaheer Cassim anaripoti kutoka Johannesburg.]] Endelea kusikiliza na kuangalia... #southafrica #skateboarding #olympicgames #xgames #voa #ZaheerCassim #afrikakusini #johannesburg #voaswahili