Mchuuzi aliyepigwa risasi asalia kwenye ICU

  • | Citizen TV
    3,452 views

    Boniface Mwangi Kariuki, mchuuzi aliyepigwa risasi na afisa wa polisi anaendelea kupigania maisha yake katika chumba cha wagonjwa mahututi katika hospitali ya Kenyatta. Madaktari wamearifu familia kwamba Boniface hawezi kuishi tena bila kuwekwa kwenye mashine. Familia japo bado inashikilia matumaini na maombi, hali yake bado haijaimarika.