Skip to main content
Skip to main content

Meru: Kundi la wacheza ngoma wa kitamaduni kutoka Muthara lakuza na kuhifadhi urithi wa Ameru

  • | NTV Video
    428 views
    Duration: 3:33
    Kundi la wacheza ngoma wa kitamaduni kutoka Muthara, kaunti ya Meru wanachukua hatua na nafasi kubwa wakati wa hafla na sherehe za umma katika juhudi madhubuti za kuhifadhi urithi wao wa kitamaduni, hasa wa Ameru. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya