- 17,848 viewsDuration: 2:08Jiji la Addis Ababa nchini Ethiopia limekuwa likishuhudia ongezeko la idadi ya watalii, hali inayotajwa kusababishwa na mabadiliko makubwa katika muonekano wa jiji hilo ambayo yamekuwa yakifanyika katika muda wa miaka michache iliyopita. Mabadiliko katika miundo mbinu yamefanikishwa wakati wa uongozi wa meya wa kwanza mwanamke katika jiji hilo Adanech Abebe. Asli Galgalo alikutana na meya huyo jijini Addis Ababa na kuandaa taarifa hii #bbcswahili #Ethiopia #mipangomjini Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw