Mfalme Charles III na Malkia Camilla wakamilisha ziara yao nchini Kenya

  • | KBC Video
    4 views

    Mfalme Charles wa tatu wa Uingereza na malkia Camilla wamekamilisha ziara rasmi ya siku nne humu nchini. Mfalme huyo na malkia waliwasili humu nchini siku ya jumanne na kukaa jijini Nairobi kwa siku mbili kabla ya kuelekea jijini Mombasa kwa siku nyingine mbili ambapo walizuru miradi mbalimbali ya uhifadhi wa wanyama pori na mazingira.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News