Mfalme wa Uingereza Charles III azuru maeneo tofauti nchini

  • | Citizen TV
    1,994 views

    Familia za Mashujaa wa vita vya kwanza na vya pili vya dunia zinataka serikali ya Uingereza kuwapa fidia. Baadhi ya Mashujaa walioshiriki vita hivyo walizawadiwa medali na mfalme wa uingereza Charles wa tatu katika makaburi ya Kariakor