- 538 viewsDuration: 3:27Familia moja mjini Kakuma kaunti ya Turkana inalilia haki ikiitaka idara ya ujasusi, kuisaidia kutafuta jamaa yao Abdisamed Ahmed Boruka, anayedaiwa kutekwa nyara mwezi uliopita akiwa Eastleigh Nairobi katika shughuli za kibiashara. Na kama anavyoarifu Cheboit Emmanuel, licha ya kupiga ripoti kwa vituo kadha ya polisi Nairobi na Kakuma, hakuna taarifa yoyote wamepata ya ndugu yao kupatikana.