Mfanyabiashara aomba serikali iwawekee kodi moja
Video hii imechukuliwa katika soko la Kituku liliyopo kwenye bandari ndogo ambayo inapokea wafanyabiashara wengi na wakulima kutoka kwenye vijiji mbali mbali huko Kivu Kaskazini na Kivu Kusini.
Kati yao ni wafanyabiashara wa mkaa na watu wanao fika bandarini kwa kutumia boti wakitoka vijijini na wengine wakiondoka kwenda vijijini ambako wanafuata mazao ya chakula, boti zote wanazotumia zimetengenezwa kwa mbao.
Boti hizi hubeba mkaa, ndizi, mbuzi na vitu vingine kuja Goma ambako kuna maelfu ya watu wanaopitia hali ngumu ya kimaisha.
Sehemu hii kuna soko. Vile vile kuna shughuli za usafirishaji, ndiyo sababu utawakuta watu wengi wapikipiki wakisubiri wateja na kuwapeleka katikati ya Mji ambako sasa biashara mbalimbali huuzwa barabarani ama kwenye baadhi ya maduka.
Watumiaji wa piki wakilalamikia hali ya Maisha kuwa ngumu kutokana na vita mashariki mwa Congo hasa hivi vya M23 ambavyo vimeathiri shughuli zote Mjini Goma na Kote Kivu kaskazini kutokana na vijiji vingi kuchukuliwa na waasi hao na kupelekea wakulima kuhama makaazi yao na kuwa wakimbizi katika mji wa Goma.
Sikiliza pia malalamiko ya kodi zinazotozwa ambazo zimekuwa kero kwa wananchi. Endelea kusikilzia mfanyabiashara aliyehojiwa na mwandishi wetu Austere Malivika huko mji wa Kituku akieleza...
#goma #kivukaskazini #jimbo #waasi #m23 #raia #makombora #sake #gavana #cirimwani #mejajenerali #voa #voaswahili
12 Aug 2025
- The new taxes will impact prices of goods and services.
12 Aug 2025
- Govt has announced privatisation plans for some of the biggest State companies.
12 Aug 2025
- Kenyans to expect temperatures as low as 8°C in some regions.
12 Aug 2025
- Douglas Kamau says he narrowly escaped death when a bullet struck his arm and ribs, allegedly fired by a police officer from Makutano Police Station.
12 Aug 2025
- Naivasha Senior Resident Magistrate Wilson Rading on Monday recused himself from hearing the case against 73-year-old farmer Francis Muya, who is accused of plotting to kill five members of his family.
12 Aug 2025
- While Chirchir is of the opinion that road crashes are “preventable if all road users play their part” the Motorists Association of Kenya (MAK) has placed blame on government agencies.
12 Aug 2025
- The Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) has 9 governors on its radar over corruption cases as it intensifies its crackdown on nationwide graft.
12 Aug 2025
- Prosecutors in the Ivory Coast said Monday they have charged 11 people, including members of the opposition party of ex-president Laurent Gbagbo, with alleged "terrorist" offences linked to unrest earlier this month.
12 Aug 2025
- Authorities in Taiwan were scrambling on Tuesday to evacuate hundreds ahead of a possible landfall by Typhoon Podul on the island's southeastern coast, while nearby areas battle to recover from floods and record winds brought by previous storms.
12 Aug 2025
- Hundreds of cabin crew members took their fight to major Canadian airports on Monday, picketing against unpaid labor, as talks on wages intensify between Air Canada AC.TO and its flight attendants this week ahead of a possible strike.
12 Aug 2025
- The new taxes will impact prices of goods and services.
12 Aug 2025
- Condemnations poured in from the United Nations, the EU and media rights groups Monday after an Israeli strike killed an Al Jazeera news team in Gaza, as Palestinians mourned the journalists and Israel accused one of them of being a Hamas militant.
12 Aug 2025
- Scientists have discovered the fossil of a tiny mouse-sized mammal that lived in the time of the dinosaurs in Chilean Patagonia.