Mfanyabiashara Hatim ameonywa dhidi ya muingilio wa kesi

  • | Citizen TV
    866 views

    Mfanyabiashara Hatim Mohammed Tahir aliyetuhumiwa kwa kutoa habari bila idhini ameonywa dhidi ya muingilio wa kesi iliyo mahakamani