Mfanyabiashara mvumbuzi Bill Gates azuru kaunti ya Makueni

  • | Citizen TV
    10,705 views

    Mfanyibiashara na muanzilishi wa kampuni ya Microsoft Bill Gates amewasili kaunti ya Makueni ambapo amewatembelea wagonjwa katika hospitali ya mama na mtoto kabla ya kukutana na wauguzi kwenye hospitali hiyo kisha kuelekea katika hospitali ya Kathonzweni iliyoko kilomita 10 kutoka mjini wa Wote