Mfumo bayana wa kushughulikia kesi wahimizwa

  • | KBC Video
    8 views

    Mashirika yasio ya serikali yanahimiza kuwe na utaratibu bayana wa kushughulikia kwa haraka kesi zinazohusu mauaji ya wanawake ili familia za waathiriwa zipate haki na kusahau yaliopita. Wakiongozwa na mkurugenzi wa mipango katika baraza la makanisa barani Afrika, kasisi Lesmore Ezekiel, wadau hao walisema visa vya mauaji ya wanawake na dhuluma za kijinsia vimekithiri huku kesi hizo zikichukua muda kuamuliwa na hivyo kuathiri kimawazo familia za waathiriwa mbali na kunyimwa haki.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive