Skip to main content
Skip to main content

Mfumo wa Patriot una nguvu kiasi gani?

  • | BBC Swahili
    19,461 views
    Duration: 2:14
    Mfumo wa ulinzi wa anga wa Marekani unaojulikana kama Patriot umejipatia sifa duniani kutokana na uwezo wake wa kukabiliana na makombora na vitisho vya angani. Je, una nguvu kiasi gani na una uwezo wa kufanya nini? Mwandishi wa BBC Bosha Nyange anaeleza zaidi. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw