Skip to main content
Skip to main content

Mgahawa waporomoka baada ya Tetemeko la ardhi kupiga Ufilipino

  • | BBC Swahili
    3,577 views
    Duration: 33s
    Tazama jinsi mgahawa ulivyopporomoka baada ya tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 7.8 kupiga. Takribani watu 15 wamefariki na zaidi ya watu 125 wamejeruhiwa baada ya tetemeko hilo la ardhi kutokea nje ya pwani ya Jiji la General Santos katika kisiwa cha Mindanao – kisiwa kikuu cha kusini mwa Ufilipino. #bbcswahili #haliyahewa #tetemekoufilipino Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw