8 Jan 2026 1:18 pm | Citizen TV 4,400 views Duration: 1:24 Waanzilishi wa chama cha ODM wakiongozwa na mbunge wa zamani wa Makadara Reuben Ndolo wamesema kuwa kuna njama ya watu fulani kusabaratisha chama hicho na ndio sababu kuu ya mzozo unaoshuhudiwa kwenye chama hicho.