Mgogoro wa ardhi wazuka mpakani Kajiado Magharibi na Kajiado ya Kati

  • | Citizen TV
    728 views

    Utata wa ardhi katika kaunti ya Kajiado umekuwa ukishuhudiwa kila kuchapo,huku kesi nyingi zikiwa hazijatatuliwa kwa miaka mingi. Mpaka wa Kajiado Magharibi na Kajiado ya Kati eneo la Enkeresuna ni mojawapo ya maeneo yenye utata .