Mgogoro wa uongozi wazidi kuisakama Hospitali ya Nairobi | Kampuni 12 za bima zajiondoa

  • | Citizen TV
    216 views

    HOSPITALI YA NAIROBI IMEENDELEA KUSALIA KWENYE NJIAPANDA KUFUATIA MGOGORO WA UONGOZI ULIOSABABISHA KAMPUNI 12 ZA BIMA KUONDOA HUDUMA ZAKE. HALI HII IKILAZIMU WAGONJWA WALIOKUWA WAKIHUDUMIWA NA HOSPITALI HII KUHAMIA KWENGINEKO HUKU PIA KLINIKI ZA HOSPITALI HII ZIKISALIA MAHAME BILA WAGONJWA