Skip to main content
Skip to main content

Mgogoro waibuka shule ya chekechea ya Statehouse kufuatia uhamisho wa mwalimu

  • | Citizen TV
    1,412 views
    Duration: 2:59
    Hali ya suitofahamu imeikumba shule ya chekechea ya statehouse baada ya msimamizi wake, Mary Saburi, kupinga hatua ya serikali ya kaunti kumwadhibu na kumhamishia shule nyingine. Usimamizi wa kaunti ulidai hatua hiyo ilitokana na mwalimu huyo kupinga mpango wa lishe maarufu ya dishi na county. Mwalimu huyo sasa analilia haki na kuitaka wizara ya elimu kuingilia kati, akisema uhamisho wake ni matokeo ya wazazi walioipinga lishe hiyo wakati hakuwepo