Mgombea urais wa Ecuador alivyopigwa risasi

  • | BBC Swahili
    343 views
    Huu ndio wakati mgombea urais wa Ecuador Fernando Villavicencio alivyopigwa risasi na kufariki baada ya mkutano wa kampeni Fernando Villavicencio ni Mgombea katika uchaguzi ujao wa urais nchini Ecuador ambaye alifanya kampeni dhidi ya ufisadi na magenge ya uhalifu, ameuawa kwa kupigwa risasi kwenye mkutano wa kampeni. Genge la wahalifu liitwalo Los Lobos (The Wolves) limedai kuhusika. #bbcswahili #Ecuador #uchaguzi