Skip to main content
Skip to main content

Mgombea wa DNA Malava ajiondoa na kumuunga mkono mgombezi wa UDA

  • | KBC Video
    264 views
    Duration: 3:17
    Karata za kisiasa zilisheheni kwenye kinyang’anyiro cha ubunge wa Malava hivi leo baada ya mgombea wa chama cha DNA Joab Manyasi, kujiondoa na kumuunga mkono mgombezi wa chama tawala cha UDA, David Ndakwa. Hatahivyo, katika kujibu madai hayo, chama chake kilitangaza kwamba kilikuwa kimeondoa uwaniaji wake na kumuunga mkono mgombezi wa muungano wa upinzani, Seth Panyako. Haya yanajiri huku zikiwa zimesalia siku tatu pekee kabla ya kuandaliwa kwa uchaguzi mdogo wenye ushindani mkali tarehe 27, mwezi huu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive