Skip to main content
Skip to main content

Mgomo wa madaktari Nairobi umesitishwa kwa siku 30

  • | KBC Video
    278 views
    Duration: 3:28
    Chama cha madaktari- KMPDU tawi la Nairobi, kimesitisha mgomo wao kwa muda wa siku thelathini, na kuashiria mwisho wa mgomo wa siku 45 uliolemaza huduma za afya ya jijini Nairobi. Wakizungumza leo katika hospitali ya Mbagathi, viongozi wa chama hicho walisema wamechukua hatua hiyo kufuatia agizo la mahakama, la kuwataka madaktari na serikali ya kaunti ya Nairobi kuafikia makubaliano ya kurejea kazini. Na kama mwanahabari wetu John Kahiro anavyoripoti,madaktari wamesisitiza kwamba, iwapo serikali ya kaunti itashindwa kushughulikia malalamiko yao, basi hawatakuwa nabudi ila kurejelea mgomo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive