Skip to main content
Skip to main content

Mgomo wa matabibu waingia siku ya 16

  • | KBC Video
    275 views
    Duration: 3:54
    Muungano wa matabibu humu nchini (KUCO) umeishtumu serikali kwa kupuuza malalamishi yao , yaliochangia mgomo ambao umeingia katika siku yake ya 16. Matabibu hao walioandamana hadi katika afisi za wizara ya afya siku ya jumatano, wanalalamikia mishahara bora, utekelezwaji wa mkataba wa maelewano na kuajiriwa kwa masharti ya kudumu kwa maafisa wa huduma ya afya kwa wote. Wauguzi hao wameitisha mazungumzo na serikai ili kutatua mgomo unaoendelea, ambao umeathiri shughuli za utoaji huduma katika hospitali. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive