Skip to main content
Skip to main content

Mgomo wa wahadhiri katika chuo kikuu cha Machakos

  • | Citizen TV
    30 views
    Machakos, Wahadhiri hao wakijumuisha miungano ya KUSU na UASU wameandamana mjini humo wakiishinikiza serikali kutekeleza mkataba wa maelewano wa mwaka wa 2025/2029 .