- 523 viewsDuration: 3:27Wahadhiri pamoja na wafanyikazi wa vyuo vikuu wameshikilia kuwa kamwe hawatarejea kazini hadi pale serikali itawalipa shilingi bilioni 7.9. Wahadhiri na wafanyikazi hao ambao mgomo wao umeingia wiki ya pili waliandamana kuelekea bunge la kitaifa na hazina kuu ya kitaifa walikowasilisha malalamishi yao na kumkashifu waziri wa elimu Migos Ogamba kwa kutoa vitisho bila suluhu.