- 214 viewsDuration: 1:55Huduma za afya katika vituo mbalimbali vya afya kaunti ya Migori zimetatizika huku mgomo wa wauguzi ukifikia siku ya tisa. Wauguzi kupitia muungano wao wameshikilia kuwa watagoma hadi serikali ya kaunti ya Migori itimize matakwa yao