Mhubiri Benny Hinn kuongoza mikutano ya injili Kenya

  • | KBC Video
    65 views

    Kanisa limejitenga na madai kwamba mkutano wa injili unaotarajiwa kuandaliwa na mhubiri mashuhuri Benny Hinn umefadhiliwa na pesa za walipa ushuru. Mkutano huo ambao unatarajiwa kuandaliwa tarehe 24 hadi 25 mwezi huu katika Uwanja wa taifa wa Nyayo unatarajiwa kuhudhuriwa na takriban waumini 60,000 kutoka nchi zaidi ya 20 wanaotoka katika madhehebu tofauti.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive