Mhubiri John Kinyua Murango atoweka Marsabit kwa njia tatanishi

  • | Citizen TV
    554 views

    Familia moja kutoka kijiji cha Mwea kaunti ya Kirinyaga sasa inataka asasi za uslama kuwasaidia kumpata jamaa yao aliyetoweka mwezi uliopita katika njia tatanishi. John Kinyua Murango alikuwa akiendesha shughuli za kuhubiri kaunti ya Marsabit kabla ya kutoweka ghafla.