- 2,172 viewsDuration: 2:07Mhubiri tata Paul Nthenge Mackenzie amefunguliwa mashtaka ya mauwaji na itikadi kali kwa mauwaji ya kwa Binzaro kaunti ya Kilifi. Mackenzie na washukiwa wengine 7 wamefikishwa katika mahakama za Mombasa na Shanzu ambapo walikana mashtaka hayo