Miaka 16 ya Wimwaro Fm

  • | Citizen TV
    124 views

    Kituo cha redio cha Wimwaro FM kinachomilikiwa na kampuni ya Royal Media Services kimesherehekea miaka 16 tangu kuanzishwa kwake.