Skip to main content
Skip to main content

Miaka 18 na risasi mwilini | Waathiriwa wa dhuluma za polisi sasa wanataka fidia

  • | Citizen TV
    3,488 views
    Duration: 3:36
    Huku serikali ikijiandaa kuwafidia waathiriwa wa maandamano kutoka mwaka 2017, baadhi ya familia na waathiriwa wa dhuluma za polisi sasa pia wanataka kufidiwa. Maina Kariuki ameishi na risasi kichwani kwa miaka 18 tangu alipopigwa risasi wakati wa purukushani na polisi hapa Nairobi na kumuacha na ulemavu wa maisha.