Skip to main content
Skip to main content

Michael Githae na mkewe Jane Githae washerehekea miaka 50 ya ndoa

  • | Citizen TV
    960 views
    Duration: 1:23
    Aliyekuwa meneja mkurugenzi wa kampuni ya Royal Media Services, Michael Githae na mkewe Jane Githae wamesherehekea miaka hamsini ya mapenzi na maisha yao pamoja kama mume na mke kwenye hafla ya kukata na shuka iliyoandaliwa kaunti ya Kirinyaga.