Michuano ya soka barani Afrika AFCON mbioni kupuliza kipyenga.

  • | BBC Swahili
    127 views
    Michuano ya soka barani Afrika AFCON kwa mwaka 2024 iko mbioni kupuliza kipyenga. Tanzania ikiwa ni mmoja wa wawakilishi katika ukanda wa Afrika Mashariki ambapo imepangwa katika kundi F ambayo ipo na Taifa la Morocco, Jamhuri ya Demokrasia ya Congo na nchi jirani na Tanzania ya Zambia. Sasa kupitia Mwandishi wetu aliyeko nchini Ivory Coast @frankmavura fahamu shauku ya mashabiki wa soka nchini Ivory Coast na uwanja utakaotumika katika ufunguzi na fainali za AFCON #bbcswahili #ivorycoast #AFCON2023 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw