- 26,517 viewsDuration: 1:48Mmiliki wa makampuni ya teknolojia ya SpaceX na Tesla, Elon Musk, anatarajiwa kuwa mtu wa kwanza duniani kufikia kiwango cha utajiri kinachozidi dola trilioni moja (trillionaire). Unajua ukubwa wa dola trilioni moja? hapa kuna mifano 7 ya utajiri 'wa kufuru' wa Elon Musk @yusuph_mazimu anaelezea #bbcswahili #elonmusk #marekani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw