3 Oct 2025 10:27 am | Citizen TV 190 views Duration: 1:18 Wito umetolewa kwa jamii ya Wamaasai hasa wafugaji katika Kaunti ya Narok kupeleka ng’ombe wao kwa chanjo dhidi ya ungonjwa wa kinywa na miguu kwa mifugo.