Mifumo sahihi ya tahadhari ya majanga yahimizwa

  • | KBC Video
    5 views

    Idara ya utabiri wa hali ya hewa humu nchini inapendekeza kuanzishwa kwa mifumo ya kutoa tahadhari za mapema ili kupunguza athari za mabadiliko ya hali ya hewa kama vile mafuriko na ukame katika maeneo mbalimbali nchini

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive