Skip to main content
Skip to main content

Migori Youth yaongoza NSL baada ya wikendi ya mabadiliko ya msimamo ligi

  • | Citizen TV
    194 views
    Duration: 1:19
    Timu ya Migori Youth imefungua pengo la pointi tatu kileleni mwa ligi ya daraja la pili, National Super League, huku Mombasa United ikishuka hadi nafasi ya tatu baada ya mechi za wikendi ambazo zimebadilisha msimamo wa ligi, huku zikiwa zimesalia raundi sita hadi mwisho wa msimu.