Miili 5 zaidi imeopolewa leo Pipeline, Nairobi

  • | Citizen TV
    5,450 views

    Miili mitano zaidi imefukuliwa kwenye chimbo la mawe la Kware eneo la Pipeline hapa jijini Nairobi na kufikisha idadi ya miili iliyoopolewa kuwa kumi na mmoja. Miili hiyo yote ilikuwa imefungwa kwa magunia huku mingine ikikatwakatwa vipandevipande. Na kama anavyoairfu Franklin Wallah, polisi walikuwa na wakati mgumu kuitoa miili hiyo kwenye mgodi huo huku wananchi wakiwashtumu kwa utepetevu.