Miili iliyoopolewa Kware yaonyesha ishara ya mbinu moja ya mauaji

  • | Citizen TV
    4,827 views

    Baada ya miili kupatukana katika kidimbwi cha eneo la Machimbo ya mawe mtaa wa Mukuru, sasa inatia doa namna waliopatikana wavyouwawa. Mwanahabari wetu Odee Francis anatia jicho ka tatu katika mtindo wa miili ilivyokatwa kiustadi wakati wamauaji haya na kuashiria kuwa si mauaji ya kawaida ila mauaji ya nia flani.