Miili mitano zaidi yapatikana Kware

  • | KBC Video
    65 views

    Miili mitano zaidi imepatikana katika chimbo la mawe la Mukuru Kwa Njenga jijini Nairobi na kufikisha idadi ya miili iliyopatikana kuwa 13. Kundi la kushughulikia marekebisho katika huduma ya polisi nchini kwa ushirikiano na mashirika ya kijamii limetoa wito wa kufanywa kwa uchunguzi wa kina kuhusiana na vifo hivyo na kufunguliwa kwa mashtaka dhidi ya wahusika. Sarafina Robi anasimulia zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive