Miili sita yapatikana ndani ya magunia mtaani Pipeline

  • | Citizen TV
    2,036 views

    Miili sita ya watu wasiojulikana imepatikana kwenye mgodi wa Kware, mtaani Pipeline hapa jijini Nairobi. Miili hiyo ya wanawake ilikuwa imefungwa kwenye magunia huku ikiwa imekatwa vipande na kutupwa kwenye eneo la taka.