- 189 viewsDuration: 1:47Familia moja huko Mbale kaunti ya Vihiga inaomboleza baada ya mwanamume aliyetoweka mkesha wa siku kuu ya krismasi kupatikana amefariki kwenye lindi la maji taka katika kisa kilichowashangaza wakazi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive