- 337 viewsDuration: 3:29Kutokana na kusambaa kwa kasi kwa mmea wa Mathenge maarufu Propis Juliflora,katika kaunti kame ishirini na mbili nchini, serikali imeanzisha mikakati kabambe ya kukabiliana na mmea huo, kwa kutumia mbinu ya kibiologia, ikilenga kutumia ardhi itakayokuwa imetwaliwa kwa Mathenge kufanya kilimo na kuongeza utoshelevu wa chakula. Na kama anavyoarifu Cheboit Emmanuel Waziri wa misitu na tabia nchi Debora barasa alifika Nadoto kushuhudiwa uzinduzi wa kitaifa wa mikakati hayo.