Skip to main content
Skip to main content

Mijusi waganta kwa baridi kali

  • | BBC Swahili
    12,520 views
    Duration: 1:19
    Wimbi la baridi kali nchini Marekani, hasa katika jimbo la Florida, limesababisha maelfu ya mijusi mikubwa aina ya gongola kuganda na kushindwa kusogea, huku baadhi yao wakianguka kutoka kwenye miti. @davidnkya255 anaelezea zaidi #bbcswahili #marekani #iguana Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw