Skip to main content
Skip to main content

Mikataba ya makubaliano kati ya serikali na wahadhiri yaibua mtafaruku

  • | Citizen TV
    542 views
    Duration: 3:05
    Na sasa tuelekee kwenye mgomo wa waadhiri ulioingia siku ya 25. Ukosefu wa utekelezaji wa mikataba ya makubaliano umechangia misururu ya mgomo katika vyo vikuu vya umma nchini. Mbali na hayo maswala mengine yameibuka na ambayo sasa yamesambaratisha shughuli za masomo kwa wiki ya tatu sasa. Serfine Achieng Ouma anaangazia baadhi ya sababu za migomo ya wahadhiri.