Mikopo ya 'Mahustler': Hazina ya hustler ya sh.50B kuzinduliwa

  • | KTN News
    3,049 views

    Rais william ruto hii leo amezisihi taasisi za kifedha kurahisisha shughuli ya kutoa mikopo kwa biashara ndogo ndogo na za wastani akisisitiza kuwa bilioni 50 za hazina ya hustler zitakuwa na riba ya kiwango cha chini.

    Join this channel to get access to perks: https://www.youtube.com/channel/UCKVsdeoHExltrWMuK0hOWmg/join

    Watch KTN Live https://www.standardmedia.co.ke/ktnnews/ Watch KTN News https://www.standardmedia.co.ke/ktnnews/ Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews