Mili ya watoto 5 yapatikana karibu na nyumba ya mhubiri Paul Makenzi ,serikali ikitangaza kafyu

  • | KBC Video
    70 views

    Serikali imetangaza kafyu ya siku 30 katika shamba la Chakama,katika kaunti ya Kilifi, ambapo msitu wa Shakahola unapatikana. Waziri wa usalama wa taifa Kithure Kindiki, kupitia arifa katika gazeti rasmi la serikali, alitaja eneo hilo kuwa eneo la uhalifu. Alipiga maarufuku mikusanyiko yote ya hadhara na kutembea usiku. Tangazo hilo linawadia siku ambapo miili ya watoto watano imefukuliwa karibu na nyumba ya mhubiri tata Paul Mackenzie.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #cult #PaulMakenzi